You are on page 1of 1

1. Wengi Watafuta yapitayo, wametanga kotehapa dunianii Wakiwaza kungangania mambo, . Wakifikiri vitu via zamani viatokaaa kwake.

Tazama mimi, nafanya kitu kipya kinafanyika sasa hivi Nanyi mtaweza kukiona, Asema Bwana, mkiamini, Nakufuata, agizo langu.

2. Tazama wanyama wa polini, watanihesimu kina mbweha mbuni Maana nitaweka maji nyikani . Ili kuwanywesha watuwangu sikiza kwa makini.

3. Hakuna azilo weza Bwana, kwa neon lake vyote aliumba Kwa mkono wake sisi tukaubwa. Mwanzo wa ndunia yeye alikuwa .vyatokaa kwake.

You might also like