You are on page 1of 8

MAENDELEO CHAP CHAP MOVEMENT LAUNCH SPEECH BY DR.

ALFRED MUTUA AT
MACHAKOS STADIUM, JANUARY 2nd, 2016
I am excited and happy as I stand here to wish you a happy new year 2016.
HAPPY NEW YEAR

The Holy Scriptures says that God created the Garden of Eden - a beautiful and amazing place.
Experts have deduced that the Garden of Eden was in our African continent. I have come to
understand and conclude that the Garden of Eden must have been in our beautiful country of Kenya.
We, indeed, have a blessed country with beautiful undulating hills, a captivating ocean front, surging
lakes and rivers, highlands, valleys and even the mighty Savannah grasslands, where Lions roar,
wildebeest race, antelopes dance with the wind and giraffes rise above trees, gazing into the future.
In 1963, we gained independence and we are grateful to our founding fathers and mothers for
liberating us. Today, 52 years later, we are a free nation.
YES we have achieved self-rule, but are we really where we are supposed to be?
HIVI LEO tumepata Mwaka Mpya wa 2016 lakini ukweli ni Kwamba tulipigania Uhuru wa siasa lakini
bado hatujaupata Uhuru wa Uchumi Na Maendeleo inavyopaswa.
Mimi nilibahatika kuishi ngamb'o, pamoja na wazungu na wahindi Na waarabu karibu miaka kumi Na
mitano nikisoma Na kufanya kazi.
Nchi hizo zina Barbara kila mahali za lami, stima kila nyumbani, maji kila boma Na kazi kwa vijana.
Nilianza kujiuliza, Hawa wazungu wana damu nyekundu Kama yetu; wanaugua Kama sisi, Na
wakifa, wanaenda Kama sisi.
JE, ni kwa nini wanaishi Maisha mazuri zaidi hata mara elfu Moja (1,000) kutuliko? JE, waliumbwa ni
Yule Yule Mungu aliyetuumba sisi Wakenya?
HAYA NI MASWALI LAZIMA TUJIULIZE KWA SABABU KUNALO SULUHISHO LA SHIDA ZETU.
MWIMBAJI WA NYIMBO ZA SIFA CHRISTINA SHUSHO ALIIMBA WIMBO UNAOITWA
UNIKUMBUKE, AKIMUOMBA MWENYEZI ATUKUMBUKE.

KATIKI WIMBO HUU, CHRISTINA SHUSHO ANASEMA UMASKINI UMEKUWA WIMBO


THE reality is that we are far behind where we should be as a people and a country because of
politics of poverty and weak DEVELOPMENT implementation methodology.

I agree we are achieved much but the reality is that as a people we have been let down.
Back in 1978 or so, countries such as South Korea, Malaysia, Singapore, Thailand and other tiger
economies were poorer or at par with Kenya.
These nations had their experts trooping to Kenya to learn about development.
Today these countries, by implementing some of our policy papers and ideas, are so developed that
they are giving us money.
They are basically developed countries manufacturing TVs, vehicles and even aircrafts, and yet we
remain number 79 in the poor index by the World Bank according to the United Nations Human
Development Report. Surely, all is not well.

Ni jambo la aibu Ya kwamba hivi Leo aki Na mama Na dada zetu wanabebana Na mitungi ya maji
Kama punda wakitimbea kilomita nyingi Kuteka maji MACHAFU kwenye mito.
Ni jambo la aibu Na la kukera, ya kwamba katika sehemu kadhaa katika chi yetu, waombolezaji
wanabeba miili ya wawapendao kwa mgongo kwa sababu hamna bararabara ya kufika
watakapomzika.
Ni jambo la kutatanisha ya kwamba vijana - Wananume Na wasichana wenye nguvu, wenye Wakili
Na wenye uwezo wa KUCHAPA KAZI wanahangaika nyumbani wakiwa wamepigwa na ghadhabu
kwa sababu hawana kazi na HAMNA dalili ya kazi hivi Karibuni.
MAISHA KWELI YAMEKUWA MAGUMU, UMASKINI UMEKUWA WIMBO. KWELI MWENYEZI
MUNGU UTUKUMBUKE.
Hivi Leo nawatangazia ya kwamba Sio mapenzi ya MWENYEZI MUNGU tuishi kwa Mateso..

Sio mapenzi ya MWENYEZI MUNGU Mama wetu wawe na SHIDA Chungu nzima za kuwalea
watoto;

Sio mapenzi ya MUNGU tufe njaa na tuwe na Aibu ya kuletewa msaada wa chakula - Mulyo.
LA ASHA
The main difference between us and the tiger economies is that we are very good at theory and
writing policy papers and talking too much, but weak in implementation. I know, I worked in Mwai
Kibakis GOVERNMENT for nearly 10 years and now running my own small county government. I am
also seeing how President Uhuru Kenyatta is being short changed in his policy implementation by an
ingrained culture.
Whereas we shelved our policy papers and strategies, the TIGER ECONOMIES implemented theirs
with speed and efficiency. Kenyans have many ideas which are gathering dust in shelves yet we are
languishing in poverty.
Today, I stand before you to echo the words of Nelson Mandela who said:
POVERTY IS NOT AN ACCIDENT. LIKE SLAVERY AND APARTHEID, IT IS MAN MADE AND CAN
BE REMOVED BY THE ACTIONS OF HUMAN BEINGS.
True to words of this great man, today I announce the launch of a movement focused on accelerating
improvement of our way of life so as to effectively deal with poverty.
A movement that says and shows that it is possible to be like Singapore, to surpass South Korea, to
sit as equal economic partners with the Americans, British or Germans. That, we are also capable.
Today we launch MAENDELEO CHAP CHAP MOVEMENT, a social movement embracing whose
foundation cry is that, INAWEZEKANA na ITAWEZEKANA.
Maendeleo Chap Chap Movement - MCC MOVEMENT - says that you have one life. When you die,
you do not come back.
This life is not a rehearsal.
Therefore, in this life, you deserve to have quality living. If others in the west or in South Africa or
Japan are living a better quality of life, then we also can live like them.
Maendeleo chap chap is about focused, quality and efficient delivery of services and projects that
change the lives of Wananchi in a way that can be seen.

It is about equality, championing for the rights and good life of our women and youth as well as giving
hope to our fathers and hardworking men.
The MCC Movement is about creation of a country where our politics and development are not
based on tribes but opportunities to all, especially young people.
We are introducing a PARADIGM SHIFT, a new way of doing things because, surely, if what we have
was efficient, we would be like Singapore or Japan or Brazil.
Ukweli wa mambo ni kwamba Maisha tulio nayo ni haya.
Ni kwanini vijana wenzangu na WAZAZI wetu waendelee kuhangaika na inawezekana wapate kazi
Na Maisha bora Kwa upesi?
Hebu muulize mwenzako, ni kwanini?
NI KWANINI?
WE ARE LAUNCHING MAENDELEO CHAP CHAP MOVEMENT HERE WHERE IT WAS BORN
BUT WE ARE GOING TO TAKE IT TO ALL CORNERS OF OUR COUNTRY BECAUSE WE HAVE
TO RISE UP AS ONE PEOPLE.
Kwa muda wa miaka miwili, mimi na Serikali yangu ya Machakos county, tumetumia MAENDELEO
CHAP CHAP Kuleta Maendeleo ya Kina.
Kwa Mfano:
1. TULIJENGA BARABARA YA LAMI YA KILOMITA 33 Kwa Miezi Mitatu, tukitumia nusu ya zile
fedha engineers walitaka tutumie.
Tumekarabati na kujenga barabara za lami Athi River na kwingine,
MWAKA huu wa 2016, tukitumia Maendeleo Chap Chap, tuna panga Kuanza, mwezi huu wa
January, ujenzi wa barabara 18 za lami kila ENEO BUNGE la MACHAKOS - Huko Syokimau Na pia
Masinga; Muthetheni na pia Kakuyuni, Kalama na pia Ikombe, Oldonyo Sabuk na pia Kinyui.
Tumefanya na tutafanya Kwa sababu
INAWEZEKANA NA MAENDELEO CHAP CHAP
2. Kwa sababu Usalama ni muhimu tulinunua na kusambaza magari 120 ya USALAMA Kwa kila
Location ya Machakos county - Kwa Sababu
INAWEZEKANA NA MAENDELEO CHAP CHAP
3. Tumeweka camera za CCTV zaidi ya 500 ndio zipunguze uhalifu, Kwa sababu
INAWEZEKANA NA MAENDELEO CHAP CHAP
4. Tumeimarisha afya- Machakos ndio iliyokuwa county ya kwanza Kenya nzima iiliyo Na vifaa mpya
vya matibabu Kwa mpango wa ushirikiano na Serikali Kuu:
Hospitali zetu ni safi, zina madawa Na katika ward zetu, kila mgonjwa analala Kwa Kitanga chake
peke yake.
Machakos county, hamna kulala wawili AU Watatu kwenye Kitanda cha hospitali.
Tumebakisha pachache tumalize kujenga hospitali Arobaini za Jamii - Forty community hospitals
kila moja ikiwa na maternity, mini theatre, ward, lab Na X-Ray.
Kwa sababu:
INAWEZEKANA NA MAENDELEO CHAP CHAP
5. Tulinunua Ambulance thamanini - eighty (80) Ndio kila location ya County ya Machakos iwe Na
Ambulance ya kuokoa Maisha.
Aibu ya mama Waja wazito AU wagonjwa kubebwa na mkokoteni umeisha Machakos.

As a result of the 80 ambulances we bought, Machakos county has a similar emergency response
time as developed western nations.

If you call for an ambulance at any time in Machakos county, it should get to you in less than 10
minutes - because each life matters.
Indeed since we launched them, the ambulances have saved lives in the following ways:
A) pregnant mothers with complications: 3,759
B) road and traffic accident patients - 632
C. Respiratory/ breathing disorders - 1,450
D.) Stomach problems - 1,333
E) Anaemia - 1,125
F) Diabetes emergencies - 350
G) Cancer patients - 188
H) Assault cases - 1,125
In total today, the ambulances have saved the lives of 15, 587 people.
Kwa Sababu,
INAWEZEKANA NA MAENDELEO CHAP CHAP
6. Katika Ukulima, tumetumia tractor 40 tulizonunua kulimia Wananchi bure acre 80,000 (thamanini
elfu), 80,000 acres. Tumewapatia watu wetu Kuku, bengu za bure, fertilizer, green houses na sasa
tumepata soko la Ndengu kule India.
You cannot proclaim you are free if every dry season you are given food relief from overseas.
Aibu ya Njaa na kupewa chakula - Mulyo - tumeanza kumaliza.
Kwa sababu
INAWEZEKANA NA MAENDELEO CHAP CHAP
7. Tumemaliza kujenga na karibu kumaliza soko Mpya 40 - Pia tumeweka MATAA ya barabara na ya
mulika mwizi KWA MIJI 127 na tunaendelea. Tunapanga pia Kuweka MATAA Kwa barabara nyingi
za lami Ndio tupunguze ajali na uhalifu.
Nilipokuwa safarini Tokyo, Japan, nilimpata mwekezaji , investor was kuweka stima wa solar
Machakos.
Haya yote kwa sababu
INAWEZEKANA NA MAENDELEO CHAP CHAP
8. MAJI MAJI MAJI - water is life and it is a right, not a privilege for every Kenyan.

In Machakos, we have used out eight drilling rigs, numerous graders, excavators and bull dozers to
dig 205 boreholes and 166 dams.
Mpango wetu nikuleta MAJI karibu na Kuweka mferenyeji wa MAJI kwenye kila nyumba. Tunataka
wakati Mama anawapikia watoto ugali, Akiona ni mgumu, anafungua mfereji, NYWEE na kuendelea
na kazi. Nunataka Wazee, vijana, Warembo na watoto wa Machakos county wawe wakiamka na
kuoga na MAJI ya shower.
Tayari tumepeana matangi ya maji ya LITA ELFU KUMI (10,000 liters) Kwa kila shule ya Serikali ya
msimgi shule 896 hapa Machakos county.

Mpango wetu ni kuchimba borehole 1,000, Dams - mabwawa 600 Na River dams, mabwawa
Madogo ya mito - Ngome - 500.
Aibu ya kubebana Na mitungi ya maji LAZIMA tumalize
Kwa sababu
INAWEZEKANA NA MAENDELEO CHAP CHAP
9. Machawood tumeanza, sasa sarakasi, uimbaji Na Sinema Kama za ngamb'o tunaanza
Kutengeza. MACHAWOOD is becoming the premier entertainment, music and film centre in Kenya
and will provide youth with opportunities and money.
Machakos People's park ya kipekee Kenya tumejenga Na inawavutia mamia ya maelfu.
Hata hii stadium tulipo ilikuwa ya vumbi Na tukaijenga Na mwezi Moja pekee
Kwa sababu
INAWEZEKANA NA MAENDELEO CHAP CHAP
10. Semeni AHA
Na Kumi,
Wahenga walisema,

UJANA NIKAMA MOSHI UKIENDA HAURUDI.


YOUTHFULL DAYS ARE LIKE SMOKE, ONCE GONE THEY NEVER COME BACK.
EMPLOYMENT And creation of jobs for our youth is key to me and my Government. And we have a
plan.
We are building a new Machakos City that will feature factories, hospitals, hotels and many other
businesses that will employ our youth.
Wananume wetu Na aki Na dada wetu wamehangaika bila mapato. Mimi nataka wapate haki ya
kazi, waeze kujijenga Na Hata kujienjoy Na mazuri wakiwa bado vijana na pia Waweze kuwasaidia
WAZAZI WAO.
Tayari, we have signed memorandums of Understandings with investors for the new city worth1.8
trillion Kenya shillings.
Kwa sababu
INAWEZEKANA NA MAENDELEO CHAP CHAP
Pinduka Kwa Yule aliye karibu Na wewe, Hata Ukiwa unatutazama nyumbani AU Kwa mkahawa ,
msalimie Na umwambie INAWEZEKANA NA MAENDELEO CHAP CHAP
INAWEZEKANA NA MAENDELEO CHAP CHAP
Hii ratiba ni robo ya Yale mambo tumeweza kufanya.
Ladies and gentlemen,
The tragedy in Kenya today is that we are obsessed with negative and backwards politics that have
rendered us poor.
Development is an issue of justice and constitutional rights but we are too busy playing politics and
witch hunting at the expense of our people.
In Kenya, for example, we have one president. Our current president is Uhuru Kenyatta, whether we
like it or not. Uhuru is facing challenges similar to my small ones in Machakos -corruption, lethargy,
poor workmanship, excuses, name it.

However, he has set his agenda and we have to give him a chance to carry it out and then we can
hold him to task on it.
However, in Kenya, you would think the elections are next week from the rhetoric we hear and see
every day. Everyone across the political divide appears to be insulting each other. This surely, is not
good for our people.
We have become so obsessed with planning the downfall of others, with insults and political games
that we have forgotten that the use of politics is not just to gain power but to change the lives of our
people.
Uhuru Kenyatta recently asked political leaders that even if they hate him, they should not destroy
the country because of their hatred. I agree with him because we cannot all be in a boat in the
middle of the ocean and some of us are drilling holes on the floor we will all sink.
When President Barrack Obama was in Kenya, he expressed his hope that Kenyans would pull
together. President Obama put it clearly that this is a time for the youth and equality and fairness to
all citizens.
When Pope Francis visited us, he also talked of the youth and how by fighting corruption and greed,
we can take this country to the level God wants it to be.
I listened to these leaders, as I have listened to our president Uhuru and as a young person, I know
that this is our time to rise up and ensure we have real change - speedy and quality development Maendeleo Chap Chap.
WANANCHI NEED TO KEEP A SCORE, A FORM OF PERFOMANCE CONTRACTING SCORE
WHERE EVERY LEADER SHOWS WHAT HE OR SHE HAS DONE.
SOME OF THE LEADERS MAKING THE MOST NOISE AND MOST VOCAL, HAVE NOTHING TO
SHOW. THEY KNOW HOW TO TALK, DANCE AND CONIVE AS THEY SPEW HATE SPECH AND
TRIBAL HATRED BUT IN TERMS OF DEVELOPMENT THEY HAVE DONE BASICALLY NOTHING
FOR MWANANCHI.
WAKATI UMEFIKA WA KUMMULIZA KIONGOZI WAKO, WEWE UMEFANYA NINI CHA
MAENDELEO TUNACHOWEZA KUKIONA?

Ladies and gentlemen,


You know, there are some people who get sick when they hear of what I have achieved with
Maendeleo chap chap.
Kuna viongozi wanaoaribikiwa Na Tumbo wakisikia nikiongea kuhusu kupigana Na umaskini Na
Maendeleo Chap kwa sababu wamezoea siasa bila vitendo.
Wamezoea matusi Na siasa duni.
Ni toboe nisitoboe?
Kuna njama zemepangwa Na wanasiasa za Kuleta ghasia Machakos, kufanya maandamano katika
kila ENEO BUNGE Na MIJI yetu, Na kuendeleza matusi Na fitina kwenye magazeti Na Hata
makinisani.
Tunajua ya kwamba Shilingi millions 56.5 million zimepangwa zitafute Njia za kumuondoa Alfred
Mutua kwa Ofisi yake kwa sababu anaaraibu hewa za siasa za Ukambani Na Kenya kwa Kuleta
Maendeleo ya kuwasaidia Wananchi.

Tunayo ratiba ya mipango yao. Hata wiki hii - tarehe nne au tano, wamepanga kuja Machakos
hospital kuweka fitina.
Hawa watu, wana siasa Na watumishi wao, nawasikilia huruma Kwa sababu hawaelewi Kenya
imebadilika Na Wakenya sasa ni werevu.
Hawa ni wale watu wameifanya bara la Africa Na nchi yetu iwe Na Wananchi wengi maskini.
Hawa ni watu ambao wanahitaji Daktari Na shindano ya Maendeleo Chap Chap Ndio wafahamu
Mwananchi ndiye wa maana.
Wakati hao wanapanga njama zao za siasa za umaskini, Mimi ninahimiza Rais Uhuru Kenyatta
atuongezee fedha za mpango wa MAJI. Ninatembelea Ofisi za Serikali ya Uhuru kuhimiza ujenzi wa
barabara ya kutoka Kibwezi hadi Kitui, Na Kuanza Kwa ujenzi wa Thwake dam Na Konza City. Mimi
Ninachapa siasa za Maendeleo Na kutetea maslahi ya watu wangu.
I wish to thank President Uhuru Kenyatta for recently appointing one of Kenya's best health brains
Dr. Cleopas Maillu as the Cabinet Secretary for health and other appointments from our region in his
Government. We request him to appoint more of our Ukambani sons and daughters as
ambassadors, chairpersons, directors and senior government officials in his government. I will,
personally, lobby the president for these appointments.
Finally,
Today is a great day because we have launched a movement that, with God's guidance will
transform our lives forever.
I ask all of you to be friends of Maendeleo Chap Chap regardless of the political affiliation you belong
to.
Watu Wangu wa Ukambani, JE mnanipa ruhusa Nieneze injili hii ya Maendeleo chap chap Kenya
nzima? Naomba mnionyshe Kwa Mikono.
Maendeleo Chap chap
Mwisho, nawaomba muiombee nchi yetu ya Kenya Na mniombee mimi mwana wenu Alfred Mutua
Na Maendeleo Chap Chap,
Mimi naamini ya kwamba hekima Na ujasiri unatoka tu Kwa MWENYEZI MUNGU.
Mimi nimejitolea kufanya kazi ya MWENYEZI MUNGU ya kupigana Na umaskini.

Kesho Mkienda kuabudu, popote mlipo Kenya nzima, nawaomba tafadhali mnikumbuke Kwa
Maombi. Kama wewe ni mchumgaji, Mzee wa kanisa, mama, Kijana AU mshiriki, tafadhali
kumbusha ibada inikumbuke Kwa Maombi Ndio Mola anipe hekima Na Nguvu za kujikakamua
kufanya kazi hii njema. MOLA NDIYE EBENEZAR MAISHANI MWANGU.
Early in the mornings, if you listen carefully, you will hear the birds of the air singing melodies that are
carried by the wind from our valleys to the snow capped mountains of Mt. Kenya, Kilimanjaro, Elgon
and even the Ngong hills. It is a message that says that it is possible for our country to become the
Garden of Eden that was created by God.
Kwa sababu,

INAWEZEKANA NA MAENDELEO CHAP CHAP.


AHSANTE NA MOLA AWABARIKI

You might also like