Professional Documents
Culture Documents
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Baraza la
Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) wanatangaza nafasi za masomo kwa kozi mbalimbali za afya
zinazotolewa na vyuo vilivyosajiliwa na NACTE na kutambuliwa na wizara.
Kufuatia tangazo hili watu wote wanaopenda kujiunga na kozi hii, watume maombi yao ili wajiunge na kozi
hizi ifikapo mwezi April 2016.
1. Kozi zinazotangazwa ni:
A. Kozi za ngazi ya Stashahada:
(i)
Maabara (Diploma in Medical Laboratory Sciences)
(ii)
Utabibu (Diploma in Clinical Medicine)
(iii)
Uuguzi (Diploma in Nursing)
B. Kozi za ngazi ya Astashahada (Cheti)
(i)
Maabara (Certificate in Medical Laboratory Sciences)
(ii)
(iii)
(iv)
(i)
4.
Awe amemaliza kidato cha nne na ufaulu wake uwe wa kiwango kisichopungua alama ya C,
kwa masomo ya biologia na kemia , na alama D kwa somo la fizikia, Hisabati na Kingereza
kwa kozi za Stashahada (Ordinary Diploma) .
(ii)
Awe amemaliza kidato cha nne na ufaulu wake uwe wa kiwango kisichopungua alama D,
kwa masomo ya biologia, Kemia, Fizikia, Hisabati na Kiingereza kwa kozi za Astashahada
(Technician Certificate).
(iii)
Awe amemaliza kidato cha nne na ufaulu wake uwe wa kiwango kisichopungua alama D,
kwa masomo manne (4), likiwemo somo la biolojia (Biology) kwa kozi za Astashahada ya awali
(Basic Technician Certificate)
Utaratibu wa kutuma maombi:
Maombi yatafanyika kwa njia ya mtandao kupitia mfumo wa udahiri wa pamoja (Central Admission
System-CAS) unaoendeshwa na kusimamiwa na NACTE.Aidha mfumo huu unapatikana kupitia Tovuti:
www.nacte.go.tz au www.cas.go.tz
5.
6.
7.
Imetolewa na:
Katibu Mkuu,
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
S.L.P. 9083,
6 Barabara ya samola machel,11417. Dar es Salaam.