You are on page 1of 1

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI


JESHI LA POLISI TANZANIA

Anuani ya Simu MKUUPOLISI Ofisi ya Inspekta Jenerali wa Polisi,


Simu : (022) 2110734 Makao Makuu ya Polisi,
Fax Na. (022) 2135556 S.L.P. 9141,
Unapojibu tafadhali taja: DAR ES SALAAM .

1 7 /08/2017
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Jeshi la Polisi nchini linapenda kuutaarifu umma kwamba
linatarajia kuwaaga Makamishna wa Jeshi la Polisi watat u (3) ,
ambao wamefikia umri wa kustaafu k wa mujibu wa sheria
kwa kutimiza miaka sitini (60) katika utendaj i wao wa kazi .

Makamishna hao waliostaafu Julai, 2017 ni pamoja na


aliye kuwa Kamishna wa Polisi Operesheni na Mafunzo, Paul
Chagonja, aliyeku wa Kamishina wa Polisi Zanzibar, Hamdani
Omari Makame na aliyekuwa Kamishina wa Tume ya kudhibiti
dawa za kulevya Ke n neth Ka s seke.

Hafla hiyo itafanyika siku ya Ijumaa tarehe 18/08/2017


katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam (DPA),
kilichopo barabara ya Kilwa, jijini Dar es eSalaam kuanzia Saa
Moja (7.00) Asubuhi. Wananchi wote pamoja na waandishi wa
habari mnakaribishwa.

You might also like