You are on page 1of 20

JAMHURI YA MUUNGANO WA

TANZANIA BUNGE LA TANZANIA




WAHESHIMIWA WABUNGE,

WARAKA WA SPIKA NA. 01/2018 WA UTEUZI WA
WAJUMBE WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE


Ibara ya 96 ya Katibu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,1977 imelipa uhalali
Bunge Ia Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuunda Kamati za Bunge za namna
mbalimbali kadri itakavyoona inafaa kwa ajili ya utekelezaji bora wa madaraka yake.
Aidha,Ibara hiyo imeweka wazi kwamba, Kanuni za Kudumu za Bunge zitafafanua
muundo wa shughuli za Kamati za Bunge.

Kwa msingi huo Kanuni ya 118 ya Kanuni za kudumu za Bunge,Toleo Ia
Januari,2016 imeweka Kamati za Kudumu za Bunge zenye Muundo na Majukumu
mbalimbali kama yanavyofafanuliwa katika Nyongeza ya Nane. Uteuzi wa wabunge
kwenye Kamati mbalimbali umewekewa utaratibu katika Kanuni ya 116. Aidha,
Kanuni ya116(7) inaweka utaratibu kwamba, ujumbe kwenye Kamati za Kudumu za
Bunge utadumu mpaka mwisho wa Mkutano wa Kumi wa Bunge ambao ninusu ya kwanza
ya maisha ya Bunge.

Mtakumbuka kwamba, mnamo tarehe 21 Januari, 2016 kupitia waraka wangu
Na.02/2016 nilifanya uteuzi wa ujumbe katika Kamati mbalimbali za Bunge.
Kamati hizo zimetekeleza majukumu yake mpaka tarehe 9 Februari, 2018 ambapo ni
mwisho wa Mkutano wa Kumi wa Bunge ambao unakamilisha nusu ya Uhai wa Bunge Ia
Kumi na Moja. Hivyo,kwa mujibu wa Kanuni ya 116(7),kipindi hicho ndiyo ukomo wa
ujumbe katika Kamati mlizokuwa mkifanya kazi.

Hivyo, Kwa mamlaka niliyopewa na Kanuni ya 116(3) na kwa kuzingatia
vigezo vilivyoanishwa katika Kanuni ya 116(5) nimefanya uteuzi mpya wa ujumbe katika
Kamati za Kudumu za Bunge. Orodha ya namna mlivyopangwa katika Kamati mbalimbali
imeambatishwa. Wajumbe wa kila Kamati wanawajibika kuchagua Mwenyekiti na
Makamu Mwenyekiti kwa mujibu wa Kanuni ya 116(10) kuwa viongozi wao.

Job Yustino Ndugai, Mb


SPIKA
12 Machi, 2018


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

BUNGE LA TANZANIA

ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE

12 Machi, 2018

YALIYOMO

1.0 KAMATI ZISIZO ZA SEKTA ................................................................................................................... 2


1.1 Kamati ya Uongozi ................................................................................................................. 2
1.2 Kamati ya Kanuni za Bunge ................................................................................................... 3
1.3 Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge ................................................................... 4
2.0 KAMATI ZA SEKTA……………………………………………………………………………………………………………………………5

2.1 Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira .......................................................................... 5


2.2 Kamati ya Katiba na Sheria .................................................................................................... 6
2.3 Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ........................................................................ 7
2.4 Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa ................................................................................ 8
2.5 Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii .......................................................................... 9
2.6 Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii ...................................................................................... 10
2.7 Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji ....................................................................................... 11
2.8 Kamati ya Miundombinu ..................................................................................................... 12
2.9 Kamati ya Nishati na Madini ............................................................................................... 12
3.0 KAMATI ZA SEKTA MTAMBUKA…………………………………………………………………………………………………………3

3.1 Kamati ya Bajeti .................................................................................................................. 13


3.2 Kamati ya Masuala ya UKIMWI ........................................................................................... 14
3.3 Kamati ya Sheria Ndogo ...................................................................................................... 15
3.4 Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) ................................................................... 16
4.KAMATI ZINAZOSIMAMIA MATUMIZI YA FEDHA ZA UMMA……………………………………………………………….17

4.1 Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) ..................................................................................... 17


4.2 Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) .................................................................... 18

i


1.0 KAMATI ZISIZO ZA SEKTA1

1.1 Kamati ya Uongozi

1. Mhe. Job Yustino Ndugai, Mb, (Spika) – Mwenyekiti


2. Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Mb, (Naibu Spika) – Makamu Mwenyekiti
3. Kiongozi wa Shughuli za Serikali Bunge au Mwakilishi wake
4. Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni au Mwakilishi wake
5. Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Mwakilishi wake
6. Mwenyekiti wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge
7. Mwenyekiti wa Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira
8. Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba na Sheria
9. Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama
10. Mwenyekiti wa Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa
11. Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii
12. Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii
13. Mwenyekiti wa Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji
14. Mwenyekiti wa Kamati ya Miundombinu
15. Mwenyekiti wa Kamati ya Nishati na Madini
16. Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti
17. Mwenyekiti wa Kamati ya Masuala ya UKIMWI
18. Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria Ndogo
19. Mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC)
20. Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC)
21. Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC)


1
Kamati zilizoanzishwa chini ya Kifungu cha 1 cha Nyongeza ya Nane ya Kanuni za Kudumu za Bunge,
Toleo la Januari, 2016
2

1.2 Kamati ya Kanuni za Bunge

1. Mhe. Job Yustino Ndugai, Mb – Spika

2. Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Mb – Naibu Spika

3. Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni au Mwakilishi Wake

4. Mwanasheria Mkuu wa Serikali,

5. Mhe. Andrew J. Chenge, Mb

6. Mhe. Magdalena H. Sakaya, Mb

7. Mhe. Salome Wycliffe Makamba, Mb

8. Mhe. Jasson S. Rweikiza,Mb

9. Mhe. Tundu Antiphas Lissu, Mb

10. Mhe. Rashid A. Abdallah, Mb

11. Mhe. Najima Murtaza Giga, Mb

12. Mhe. Ally Salleh Ally, Mb

13. Mhe. Mohamed Omari Mchengerwa, Mb

14. Mhe. Esther Michael Mmasi, Mb

15. Mhe. Sebastian Simon Kapufi, Mb

16. Mhe. Peter J. Serukamba, Mb

17. Mhe. Mussa Azzan Zungu, Mb

3


1.3 Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge

1. Mhe. Eng. Ramo M. Makani, Mb


2. Mhe. Margareth S. Sitta, Mb
3. Mhe. George M. Lubeleje, Mb
4. Mhe. Dkt. Suleiman A. Yussuf, Mb
5. Mhe. Dkt. Christine G. Ishengoma, Mb
6. Mhe. Adadi M. Rajab, Mb
7. Mhe. Almasi A. Maige, Mb
8. Mhe. Emmanuel A. Mwakasaka, Mb
9. Mhe. Ruth H. Molel, Mb
10. Mhe. Shamsi V. Nahodha, Mb
11. Mhe. Mariam N. Kisangi, Mb
12. Mhe. Abdallah A. Mtolea, Mb
13. Mhe. Allan Kiula, Mb
14. Mhe. Prosper Joseph Mbena, Mb
15. Mhe. Augustino Manyanda Masele, Mb
16. Mhe. Omar Mohamed Kigua, Mb
17. Mhe. Rose Kamili Sukum, Mb

4


2.0 KAMATI ZA SEKTA2
2.1 Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira

1. Mhe. Ahmed Ally Salum, Mb


2. Mhe. Hawa Subira Mwaifunga, Mb
3. Mhe. David Cecil Mwambe, Mb
4. Mhe. Balozi Dkt. Diodorus Buberwa Kamala, Mb
5. Mhe. Gimbi Dotto Masaba, Mb
6. Mhe. Jumanne Kibera Kishimba, Mb
7. Mhe. Lucy Thomas Mayenga, Mb
8. Mhe. Kiteto Zawadi Koshuma, Mb
9. Mhe. Innocent Lugha Bashungwa, Mb
10. Mhe. Munde Tambwe Abdalah, Mb
11. Mhe. Omary Ahmad Badwel, Mb
12. Mhe. Khamis Ali Vuai, Mb
13. Mhe. Munira Mustafa Khatibu, Mb
14. Mhe. Salim Hassan Turky, Mb
15. Mhe. Shamsia Azizi Mtamba, Mb
16. Mhe. Silvester Francis Koka, Mb
17. Mhe. Ahmed Saddiq Suleiman, Mb
18. Mhe. Zainab Mdolwa Amiri, Mb
19. Mhe. Kanali (Mst.) Masoud Ali Khamis, Mb
20. Mhe. Josephine Johnson Genzabuke, Mb
21. Mhe. Gibson Blasius Meiseyeki, Mb
22. Mhe. Godbless Jonathan Lema, Mb
23. Mhe. Abdulaziz Mohamed Abood, Mb
24. Mhe. Muss Rashid Ntimizi, Mb
25. Mhe. Ahmed Juma Ngwali, Mb
26. Mhe. Mansoor Hirani Shanif, Mb


2
Kamati zilizoanzishwa Kifungu cha 5 (1) cha Nyongeza ya Nane ya Kanuni za Kudumu za Bunge Toleo
la Januari, 2016
5

2.2 Kamati ya Katiba na Sheria

1. Mhe. Upendo Furaha Peneza, Mb


2. Mhe. Asha Abdullah Juma, Mb
3. Mhe. George Boniface Simbachawene, Mb
4. Mhe. Joseph Kizito Mhagama, Mb
5. Mhe. Makame Mashaka Foum, Mb
6. Mhe. Najma Murtaza Giga, Mb
7. Mhe. Amina Saleh Mollel, Mb
8. Mhe. Wanu Hafidh Amer, Mb
9. Mhe. Prof. Jumanne Abdallah Maghembe, Mb
10. Mhe. Dkt. Mathayo David Mathayo, Mb
11. Mhe. Nimrod Elirehemah Mkono, Mb
12. Mhe. Susan Peter Maselle, Mb
13. Mhe. Alfredina Apolinary Kahigi, Mb
14. Mhe. Lathifah Hassan Chande, Mb
15. Mhe. Saed Ahmed Kubenea, Mb
16. Mhe. Ally Abdulla Saleh, Mb
17. Mhe. Jacqueline Kandidus Ngonyani Msongozi, Mb
18. Mhe. Bupe Nelson Mwakang’ata, Mb
19. Mhe. Sixtus Raphael Mapunda, Mb
20. Mhe. Hassani Seleman Kaunje, Mb
21. Mhe. Yahaya Omary Massare, Mb
22. Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa, Mb
23. Mhe. Tundu Antiphas Mughwai Lissu, Mb
24. Mhe. Emmanuel A. Mwakasaka, Mb
25. Mhe. Dkt. Damas Daniel Ndumbaro, Mb

6


2.3 Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama

1. Mhe. Almasi Athuman Maige, Mb


2. Mhe. Bonna Moses Kaluwa, Mb
3. Mhe. Cosato David Chumi, Mb
4. Mhe. Fakharia Shomari Khamis, Mb
5. Mhe. Mussa Azzan Zungu, Mb
6. Mhe. Eng.Gerson Hosea Lwenge, Mb
7. Mhe. Joseph Michael Mkundi, Mb
8. Mhe. Joram Ismael Hongoli, Mb
9. Mhe. Zacharia Paulo Issaay, Mb
10. Mhe. Shamsi Vuai Nahodha, Mb
11. Mhe. Mboni Mohamed Mhita, Mb
12. Mhe. Shally Joseph Raymond, Mb
13. Mhe. Mussa Hassan Mussa, Mb
14. Mhe. Prosper Joseph Mbena, Mb
15. Mhe. Fatma Hassan Toufiq, Mb
16. Mhe. Masoud Abdallah Salim, Mb
17. Mhe. Sebastian Simon Kapufi, Mb
18. Mhe. Salum Mwinyi Rehani, Mb
19. Mhe. Silafu Jumbe Maufi, Mb
20. Mhe. Ruth Hiyob Mollel, Mb
21. Mhe. Dkt. Suleiman Ally Yussuf, Mb
22. Mhe. Sophia Hebron Mwakagenda, Mb
23. Mhe. Janeth Maurice Massaburi, Mb
24. Mhe. Augustino Manyanda Masele, Mb
25. Mhe. Victor Kilasile Mwambalaswa, Mb

2.4 Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa

1. Mhe. Angelina Adam Malembeka, Mb


2. Mhe. Anna Joram Gidarya, Mb
3. Mhe. George Malima Lubeleje, Mb
4. Mhe. Hamad Salim Maalim, Mb
5. Mhe. Jerome Dismas Bwanausi, Mb
6. Mhe. Jasson Samson Rweikiza, Mb
7. Mhe. Innocent Sebba Bilakwate, Mb
8. Mhe. Martha Mosses Mlata, Mb
9. Mhe. Margareth Simwanza Sitta, Mb
10. Mhe. Hamidu Hassan Bobali, Mb
11. Mhe. Mwantum Dau Haji, Mb
12. Mhe. Waitara Mwita Mwikwabe, Mb
13. Mhe. Philipo Augustino Mulugo, Mb
14. Mhe. Saada Mkuya Salum, Mb
15. Mhe. Venance Methusela Mwamoto, Mb
16. Mhe. Mussa Ramadhani Sima, Mb
17. Mhe. Khamis Salum Salim, Mb
18. Mhe. Mwanne Ismail Mchemba, Mb
19. Mhe. Lusia Ursula Michael Mlowe,
20. Mhe. Rehema Juma Migilla, Mb
21. Mhe. Joseph Roman Selasini
22. Mhe. Joel Mwaka Makanyaga, Mb
23. Mhe. Njalu Daudi Silanga, Mb
24. Mhe. Khatib Said Haji, Mb
25. Mhe. Daniel Edward Mtuka, Mb

8


2.5 Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii

1. Mhe. Bernadeta Kasabago Mushashu, Mb


2. Mhe. Grace Victor Tendega, Mb
3. Mhe. Peter Ambrose Pacience Lijualikali, Mb
4. Mhe. Jaku Hashim Ayoub, Mb
5. Mhe. Peter Joseph Serukamba, Mb
6. Mhe. Vicky Paschal Kamata, Mb
7. Mhe. Amina Nassoro Makilagi, Mb
8. Mhe. Salma Rashid Kikwete, Mb
9. Mhe. Susana Anselm Jerome Lyimo, Mb
10. Mhe. Selemani Said Bungara, Mb
11. Mhe. Machano Othman Said, Mb
12. Mhe. Kasuku Samson Bilago, Mb
13. Mhe. Juma Selemani Nkamia, Mb
14. Mhe. Hussein Mohamed Bashe, Mb
15. Mhe. Khalifa Mohammed Issa, Mb
16. Mhe. Joseph Osmund Mbilinyi, Mb
17. Mhe. Khamis Yahya Machano, Mb
18. Mhe. Mch.Dkt. Getrude P. Rwakatare, Mb
19. Mhe. Kabwe Zuberi Ruyagwa Zitto, Mb
20. Mhe. Rose Cyprian Tweve, Mb
21. Mhe. Joseph Leonard Haule, Mb
22. Mhe. John Peter Kadutu, Mb
23. Mhe. Oscar Rwegasira Mukasa, Mb
24. Mhe. Deogratius Francis Ngalawa, Mb

9


2.6 Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii

1. Mhe. Nape Moses Nnauye, Mb


2. Mhe. Boniface Mwita Getere, Mb
3. Mhe. Grace Sindato Kiwelu, Mb
4. Mhe. Magdalena Hamis Sakaya, Mb
5. Mhe. Joshua Samwel Nassari, Mb
6. Mhe. Halima Abdallah Bulembo, Mb
7. Mhe. Khalifa Salum Suleiman, Mb
8. Mhe. Lucy Fidelis Owenya, Mb
9. Mhe. Jaffar Sanya Jussa, Mb
10. Mhe. Kalanga Julius Laizer, Mb
11. Mhe. Omary Tebweta Mgumba, Mb
12. Mhe. Kemirembe Rose Julius Lwota, Mb
13. Mhe. Hussein Nassor Amar, Mb
14. Mhe. Shabani Omari Shekilindi, Mb
15. Mhe. Neema William Mgaya
16. Mhe. Mch. Peter Simon Msigwa, Mb
17. Mhe. Flatei Gregory Massay, Mb
18. Mhe. Risala Saidi Kabongo, Mb
19. Mhe. Dkt. Jasmine Tiisekwa Bunga, Mb
20. Mhe. Dkt. Stephen Lemomo Kiruswa, Mb
21. Mhe. Yussuf Haji Khamis, Mb
22. Mhe. Yussuf Salim Hussein, Mb
23. Mhe. Zainab Nuhu Mwamwindi, Mb
24. Mhe. Mbarouk Salim Ali, Mb

10


2.7 Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji

1. Mhe. Deo Kasenyenda Sanga, Mb


2. Mhe. Dkt. Christine Gabriel Ishengoma, Mb
3. Mhe. Eng. Edwin Amandus Ngonyani, Mb
4. Mhe. Justine Joseph Monko, Mb
5. Mhe. Katani Ahmadi Katani, Mb
6. Mhe. Haji Ameir Haji, Mb
7. Mhe. Kunti Yusuph Majala, Mb
8. Mhe. Mahmoud Hassan Mgimwa, Mb
9. Mhe. Dkt. Mary Michael Nagu, Mb
10. Mhe. Haroon Mulla Pirmohamed, Mb
11. Mhe. Mbaraka Salim Bawazir, Mb
12. Mhe. Khadija Hassan Aboud, Mb
13. Mhe. Paschal Yohana Haonga, Mb
14. Mhe. Ritta Enespher Kabati, Mb
15. Mhe. Lucy Simon Magereli, Mb
16. Mhe. Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo, Mb
17. Mhe. Omar Abdallah Kigoda, Mb
18. Mhe. Anna Richard Lupembe, Mb
19. Mhe. Emmanuel Papian John, Mb
20. Mhe. Devotha Mathew Minja, Mb
21. Mhe. Mattar Ali Salum, Mb
22. Mhe. Haji Khatib Kai, Mb
23. Mhe. Sikudhani Yasini Chikambo, Mb
24. Mhe. Juma Ali Juma, Mb
25. Mhe. Anthony Calist Komu, Mb

11


2.8 Kamati ya Miundombinu

1. Mhe. Abbas Ali Hassan Mwinyi, Mb


2. Mhe. Ahmed Mabkhut Shabiby, Mb
3. Mhe.Asha Mshimba Jecha, Mb
4. Mhe. James Francis Mbatia, Mb
5. Mhe. Charles Muhangwa Kitwanga, Mb
6. Mhe. Hawa Mchafu Chakoma, Mb
7. Mhe. Bhagwanji Maganlal Meisuria, Mb
8. Mhe. Marwa Ryoba Chacha,Mb
9. Mhe. Moshi Selemani Kakoso, Mb
10. Mhe. Dkt. Pudenciana Wilfred Kikwembe, Mb
11. Mhe. Eng. Ramo Matala Makani, Mb
12. Mhe. Zuberi Mohamedi Kuchauka, Mb
13. Mhe. Rashid Mohamed Chuachua, Mb
14. Mhe. Rukia Kassim Ahmed, Mb
15. Mhe. Saul Henry Amon, Mb
16. Mhe. Daniel Nicodemus Nsanzugwanko, Mb
17. Mhe. Suzan Limbweni Kiwanga, Mb
18. Mhe. Dua William Nkurua, Mb
19. Mhe. Raphael Japhary Michael, Mb
20. Mhe. Joyce John Mukya, Mb
21. Mhe. Susana Chogisasi Mgonukulima, Mb
22. Mhe. Nuru Awadh Bafadhili, Mb
23. Mhe. Agnes Mathew Marwa, Mb
24. Mhe. Nassor Suleiman Omar, Mb

2.9 Kamati ya Nishati na Madini

1. Mhe. Ally Mohamed Kessy, Mb

12


2. Mhe. Catherine Valentine Magige, Mb
3. Mhe. Bahati Ali Abeid, Mb
4. Mhe. Dunstan Luka Kitandula, Mb
5. Mhe. Lameck Okambo Airo, Mb
6. Mhe. Hamoud Abuu Jumaa, Mb
7. Mhe. Musukuma Joseph Kasheku, Mb
8. Mhe. Jesca David Kishoa, Mb
9. Mhe. John Wegesa Heche, Mb
10. Mhe. Kiza Hussein Mayeye, Mb
11. Mhe. Mariam Ditopile Mzuzuri, Mb
12. Mhe. Maryam Salum Msabaha, Mb
13. Mhe. Mwantakaje Haji Juma, Mb
14. Mhe. Mohamed Juma Khatib, Mb
15. Mhe. Ajali Rashid Akbar, Mb
16. Mhe. Seif Khamis Said Gulamali, Mb
17. Mhe. Ussi Salim Pondeza (Amjad), Mb
18. Mhe. Vedastus Mattayo Manyinyi, Mb
19. Mhe.Yosepher Ferdinandi Komba, Mb
20. Mhe. Suleiman Masoud Nchambi, Mb
21. Mhe.James Kinyasi Millya, Mb
22. Mhe. Zubeda Hassan Sakuru, Mb
23. Mhe. Hamida Mohamed Abdallah, Mb
24. Mhe. Wilfred Muganyizi Lwakatare, Mb
25. Mhe. Frank George Mwakajoka, Mb

3.0 KAMATI ZA SEKTA MTAMBUKA3

3.1 Kamati ya Bajeti



3
Kamati zilizoanzishwa chini ya Kifungu cha 8 cha Nyongeza ya Nane ya Kanuni za Kudumu za Bunge
Toleo la Januari, 2016
13


1. Mhe. Abdallah Majura Bulembo, Mb
2. Mhe. Ali Hassan Omari, Mb
3. Mhe. Jitu Vrajlal Soni, Mb
4. Mhe. Dkt. Dalaly Peter Kafumu, Mb
5. Mhe. David Ernest Silinde, Mb
6. Mhe. Freeman Aikael Mbowe, Mb
7. Mhe. Hawa Abdurahman Ghasia, Mb
8. Mhe. Ibrahim Hassanali Mohammedali Raza, Mb
9. Mhe. Makame Khassim Makame, Mb
10. Mhe. Martha Jachi Umbulla, Mb
11. Mhe. Mbaraka Kitwana Dau, Mb
12. Mhe. Mendrad Lutengano Kigola, Mb
13. Mhe. Oran Manase Njeza, Mb
14. Mhe. Riziki Said Lulida, Mb
15. Mhe. Hasna Sudi Katunda Mwilima
16. Mhe. Maria Ndilla Kangoye, Mb
17. Mhe. Stephen Julius Masele, Mb
18. Mhe. Mashimba Mashauri Ndaki, Mb
19. Mhe. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka, Mb
20. Mhe. Albert Ntabaliba Obama, Mb
21. Mhe. Balozi Adadi Mohamed Rajabu, Mb
22. Mhe. Dkt. Immaculate Sware Semesi, Mb

3.2 Kamati ya Masuala ya UKIMWI

1. Mhe. Zaynab Matitu Vulu, Mb


2. Mhe. Kemirembe Rose Julius Lwota, Mb
3. Mhe. Oscar Rwegasira Mukasa, Mb
4. Mhe. Salma Rashid Kikwete, Mb
5. Mhe. Albert Ntabaliba Obama, Mb
14


6. Mhe. Rose Cyprian Tweve, Mb
7. Mhe. Yussuf Haji Khamis, Mb
8. Mhe. Masoud Abdallah Salim, Mb
9. Mhe. Makame Mashaka Foum, Mb
10. Mhe. Godfrey William Mgimwa, Mb
11. Mhe. Matter Ali Salum, Mb
12. Mhe. Gibson Blasius Meiseyeki, Mb
13. Mhe. Amina Nassor Makilagi, Mb
14. Mhe. Dkt. Jasmine Tiisekwa Bunga, Mb
15. Mhe. Oliver Daniel Semuguruka, Mb
16. Mhe. Omary Ahmad Badwel, Mb
17. Mhe. Dkt. Hadji Hussein Mponda, Mb
18. Mhe. Prof. Norman Adamson King Sigalla, Mb
19. Mhe. Edward Franz Mwalongo, Mb
20. Mhe. Munde Tambwe Abdalah, Mb

3.3 Kamati ya Sheria Ndogo

1. Mhe. Aida Joseph Khenani, Mb


2. Mhe. Andrew John Chenge, Mb
3. Mhe. Khamis Mtumwa Ali, Mb
4. Mhe. Rashid Ali Abdallah, Mb
5. Mhe. Mlinga Goodluck Asaph, Mb
6. Mhe. William Mganga Ngeleja, Mb
7. Mhe. John John Mnyika, Mb
8. Mhe. Halima James Mdee, Mb
9. Mhe. Elibariki Emmanuel Kingu, Mb
10. Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete, Mb
11. Mhe. Sabreena Hamza Sungura, Mb
12. Mhe. Sadifa Juma Khamis, Mb
13. Mhe. Anne Kilango Malecela, Mb
15


14. Mhe. Zainab Athman Katimba, Mb
15. Mhe. Salome Wycliff Makamba, Mb
16. Mhe. Twahir Awesu Mohammed, Mb
17. Mhe. Taska Restituta Mbogo, Mb
18. Mhe. Mary Deo Muro, Mb
19. Mhe. Esther Lukago Midimu, Mb

3.4 Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC)

1. Mhe. Edwin Mgante Sannda, Mb


2. Mhe. Godfrey William Mgimwa, Mb
3. Mhe. Juma Othman Hija, Mb
4. Mhe. Othman Omar Haji, Mb
5. Mhe. Maftaha Abdallah Nachuma, Mb
6. Mhe. Muhammed Amour Muhammed, Mb
7. Mhe. Lolesia Jeremia Bukwimba
8. Mhe. Richard Philip Mbogo Mb,
9. Mhe. Stephen Hilary Ngonyani, Mb
10. Mhe. Zaynab Matitu Vulu, Mb
11. Mhe. Vuma Hole Augustine, Mb
12. Mhe. Atupele Fredy Mwakibete, Mb
13. Mhe. Esther Amos Bulaya, Mb
14. Mhe. Janet Zebedayo Mbene, Mb
15. Mhe. Esther Alexander Mahawe
16. Mhe. Esther Nicholas Matiko, Mb
17. Mhe. Pauline Philipo Gekul, Mb
18. Mhe. Quambalo Willy Qulwi, Mb
19. Mhe. Amina Idd Mabrouk, Mb
20. Mhe. Dkt. Raphael Masunga Chegeni, Mb
21. Mhe. Ester M. Mmasi, Mb
22. Mhe. Sonia Jumaa Magogo, Mb
23. Mhe. Desderius John Mipata, Mb
16


24. Mhe. Richard Mganga Ndassa, Mb
25. Mhe. Daimu Iddi Mpakate, Mb

4.0 KAMATI ZINAZOSIMAMIA MATUMIZI YA FEDHA ZA UMMA4


4.1 Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC)

1. Mhe. Kiswaga Boniventura Destery, Mb


2. Mhe. Ali Salim Khamis, Mb
3. Mhe. Allan Joseph Kiula, Mb
4. Mhe. Catherine Nyakao Ruge, Mb
5. Mhe. Anatropia Lwehikila Theonest, Mb
6. Mhe. Dkt. Hadji Hussein Mponda, Mb
7. Mhe. Felister Aloyce Bura, Mb
8. Mhe. Hassan Elias Massala, Mb
9. Mhe. Hussein Ibrahim Makungu, Mb
10. Mhe. Ignas Aloyce Malocha, Mb
11. Mhe. Jamal Kassim Ali, Mb
12. Mhe. Josephine Tabitha Chagula, Mb
13. Mhe. Mariam Nassoro Kisangi, Mb
14. Mhe. Khadija Nassir Ali, Mb
15. Mhe. Livingstone Joseph Lusinde, Mb
16. Mhe. Maida Hamad Abdallah, Mb
17. Mhe. Mussa Bakari Mbarouk, Mb
18. Mhe. Naghenjwa Livingstone Kaboyoka, Mb
19. Mhe. Oliver Daniel Semunguruka, Mb
20. Mhe. Omari Mohamed Kigua, Mb
21. Mhe. Aeshi Khalfan Hilaly, Mb
22. Mhe. Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa, Mb
23. Mhe. Abdalla Haji Ali, Mb
24. Mhe. Juma Hamad Omar, Mb
25. Mhe. Rhoda Edward Kunchela, Mb
26. Mhe. Aysharose Ndogholi Mattembe, Mb
27. Mhe. Stanslaus Shing’oma Mabula, Mb
28. Mhe. Joyce Bitta Sokombi, Mb
29. Mhe. Rashid Abdallah Shangazi, Mb


4
Kamati zilizoanzishwa chini ya Kifungu cha 13 cha Nyongeza ya Nane ya Kanuni za Kudumu za Bunge
Toleo la Januari, 2016

17

4.2 Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC)

1. Mhe. Abdallah Ally Mtolea, Mb


2. Mhe. Alex Raphael Gashaza, Mb
3. Mhe. Seif Ungando Ally, Mb
4. Mhe. Azza Hillal Hamad, Mb
5. Mhe. Conchesta Leonce Rwamlaza, Mb
6. Mhe. Tunza Issa Malapo, Mb
7. Mhe. Leah Jeremiah Komanya, Mb
8. Mhe. Martin Mtonda Msuha, Mb
9. Mhe. Ezekiel Magolyo Maige, Mb
10. Mhe. Rose Kamili Sukum, Mb
11. Mhe. Selemani Jumanne Zeddy, Mb
12. Mhe. Edward Franz Mwalongo, Mb
13. Mhe. Vedasto Edgar Ngombale, Mb
14. Mhe. Anastazia James Wambura, Mb
15. Mhe. Abdallah Dadi Chikota, Mb
16. Mhe. Mangungu Ali Issa, Mb
17. Mhe. Tauhida Cassian Gallos, Mb
18. Mhe. Faida Mohammed Bakari, Mb
19. Mhe. Mary Pius Chatanda, Mb
20. Mhe. Juma Kombo Hamad, Mb
21. Mhe. Yussuf Kaiza Makame, Mb
22. Mhe. Constantine John Kanyasu, Mb
23. Mhe. Zainab Mussa Bakar, Mb
24. Mhe. Prof. Norman Adamson King Sigalla, Mb
25. Mhe. Cecilia Daniel Paresso, Mb

18

You might also like