You are on page 1of 21

http://www.glcom.com/cyberswahili/swahili.

htm NINAJIFUNZA BABA = MAMA = KAKA = DADA = BIBI = BABU = MJOMBA = hese words AMI = SHANGAZI = BIN AMU = BINTI AMU = MPWA = MJUKUU = KILEMBWE = KAHAWA = KOFI = NDIZI = BANANA = BAHATI = MKUKI = NDIYO = HAPANA = MOYO = NINI = WAPI = LINI = NANI = YA NANI = VIPI = KISWAHILI = I AM LEARNING KISWAHILI Father Mother Brother Sister Grandmother also NYANYA (But Nyanya is also Tomatoes) Grandfather (maternal) uncle ** MANY THANKS TO ANTHONY for reminding about t (paternal) uncle -- also, BABA MDOGO or BABA MKUBWA aunt cousin (male) cousin (female) nephew (male); niece (female) Grandchild Great grandchild Coffee Slap Banana Squeezed, pressed Luck Spear Yes No heart what where when who whose how

GREETINGS/SALUTATIONS GREETING: HABARI GANI? AYA How are you ? HABARI YAKO? How are you ? (singular) HABARI ZENU? How are you ? (plural) JE, HUJAMBO? Are you (singular) O.K? JE HAMJAMBO? Are you (plural) O.K? SALAMA? Peace? SHIKAMOO! RESPONSE: HABARI YANGU NI NZURI or HABARI YANGU NI MB I am fine/O.K HABARI YANGU NI NZURI I am fine/O.K HABARI ZETU NI NZURI We are fine/O.K SIJAMBO I am OK. HATUJAMBO We are OK SALAMA! Peace! MARAHABA! I am not fine/OK

....... MAMBO? Things? KWAHERI YA KUONANA Good bye until we see each other SAFIRI SALAMA Have a safe journey Common phrases NZURI SANA = VERY GOOD SIYO NZURI = NOT GOOD MBAYA = BAD NZURI TU = JUST GOOD NA WEWE, JE = AND YOU? (singular) NA NYINYI, JE? = AND YOU (plural)

........ SAFI! Cool/Clean! ASANTE NA WEWE PIA Thanks and you too ASANTE NA WEWE UBAKI SALAMA Thanks and you stay safely.

UNAKWENDA WAPI = WHERE ARE YOU GOING? WAPI = WHERE WAPI = IN VAIN ENDA = TO GO NINAKWENDA = I AM GOING SASA = NOW NINAKWENDA PALE = I AM GOING THERE HUNA (?) = YOU DON'T HAVE = DON'T YOU HAVE? Up to Menu SEHEMU ZA MWILI WA BINADAMU - HUMAN BODY PARTS 1. Kichwa - Head 2. Mdomo - Mouth 3. Ulimi - Tongue 4. Jino - Tooth 5. Gego - molar 6. Mdomo - lip 7. Jicho - eye 8. Sikio - ear 9. Nywele - hair 10. Ndevu - beard 11. Pua - nose 12. Kope - eyelash 13. Nyusi - eyebrow 14. Mkono - arm/hand 15. Kiganja - palm 16. Kidole - finger 17. Kucha - nail 18. Bega - Shoulder 19. Ngozi - skin 20. Tumbo - abdomen/stomach 21. Kitovu - navel 22. Utumbo - intestine 23. Titi - breast 24. Kifua - chest 25. Mbavu - rib 26. Paja - thigh 27. Mguu - leg 28. Goti - knee Vichwa ( heads) Midomo (mouths) Ndimi (tongues) Meno (teeth) Magego Midomo/lips Macho (eyes) Masikio (ears) Nywele (hair) Ndevu (beard) Pua (nose) Kope - eyelashes nyusi = eyebrows Mikono (arms/hands) Viganja (palms) Vidole (fingers) Kucha (nails) Mabega (shoulders) Ngozi (skins) Matumbo (stomachs) Vitovu (navels) Matumbo (intestines) Matiti (breasts) Vifua (chests) Mbavu (Ribs) Mapaja (Thighs) Miguu (legs) Magoti (knees)

29. Tako - buttock 30. Kisigino - heel Up to Menu RANGI - COLOURS

Matako (buttocks) Visigino (Heels)

1. NYEUPE - White 2. NYEUSI - Black 3. NYEKUNDU - Red 4. BLUU - Blue 5. ZAMBARAU - Purple 6. KIJIVU - Grey 7. KAHAWIA - Brown (like coffee) 8. HUDHURUNGI- Yellowish-brown 9. KIJANI - Green 10. NJANO - Yellow 11. PINKI - Pink Up to Menu FRUITS 1. Chungwa/Machungwa 2. Ndizi/Ndizi 3. Pera/Mapera 4. Papai/mapapai 5. Danzi/Madanzi 6. Chenza/Machenza 7. Nanasi/Mananasi 8. Balungi 9. Forosadi 10. Ukwaju Up to Menu VINYWAJI - BEVERAGES 1. 2. 3. 4. CHAI - Tea KAHAWA - Coffee TANGAWIZI - Ginger drink UJI - Porridge _ Orange/Oranges Banana/Bananas Guava/Guavas Payapaya Bitter orange Tangerine/tangerines pineapple/pineapples/ananas Grapefruit Mulberry tamarind

CARDINAL NUMBERS SIFURI/ZERO MOJA MBILI TATU NNE TANO SITA SABA NANE TISA KUMI KUMI NA MOJA KUMI NA MBILI KUMI NA TATU KUMI NA NNE KUMI NA TANO KUMI NA SITA 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16

KUMI NA SABA KUMI NA NANE KUMI NA TISA ISHIRINI ISHIRINI NA MOJA ISHIRINI NA MBILI ISHIRINI NA NANE ISHIRINI NA TISA THELATHINI THELATHINI NA MOJA THELATHINI NA MBILI THELETHINI NA TATU THELATINI NA NANE THELATHINI NA TISA AROBAINI AROBAINI NA MOJA AROBAINI NA MBILI AROBAINI NA NANE AROBAINI NA TISA HAMSINI HAMSINI NA MOJA HAMSINI NA MBILI HAMSINI NA TATU HAMSINI NA NANE HAMSINI NA TISA SITINI SITINI NA MOJA SITINI NA MBILI SITINI NA NANE SITINI NA TISA SABINI SABINI NA MOJA SABINI NA MBILI SABINI NA NANE SABINI NA TISA THEMANINI THEMANINI NA MOJA THEMANINI NA MBILI THEMANINI NA TATU THEMANINI NA NANE THEMANINI NA TISA TISINI TISINI NA MOJA TISINI NA MBILI TISINI NA NANE TISINI NA TISA MIA MOJA MIA MOJA NA MOJA MIA MOJA NA MBILI MIA MOJA NA NANE MIA MOJA NA TISA MIA MOJA NA KUMI MIA MOJA NA KUMI NA MOJA MIA MOJA NA KUMI NA MBILI MIA MOJA NA KUMI NA NANE MIA MOJA NA KUMI NA TISA MIA MOJA NA ISHIRINI MIA MOJA NA ISHIRINI NA MOJA MIA MOJA NA ISHIRINI NA MBILI MIA MOJA NA ISHIRINI NA NANE MIA MOJA NA ISHIRINI NA TISA

17 18 19 20 21 22 29 30 31 32 33 34 35 40 41 42 43 49 50 51 52 53 58 59 60 61 62 68 69 70 71 72 78 79 80 81 82 83 88 89 90 91 92 98 99 100 101 102 108 109 110 111 112 113 119 120 121 122 128 129

MIA MOJA NA THELATHINI MIA MOJA NA THELETHINI NA MOJA MIA MOJA NA THELETHINI NA TISA MIA MOJA NA AROBAINI MIA MOJA NA AROBAINI NA MOJA MIA MOJA NA AROBAINI NA MBILI MIA MOJA NA AROBAINI NA NANE MIA MOJA NA AROBAINI NA TISA MIA MOJA NA HAMSINI MIA MOJA NA SITINI MIA MOJA NA SABINI MIA MOJA NA THEMANINI MIA MOJA NA TISINI MIA MBILI MIA MBILI NA MOJA MIA MBILI NA KUMI MIA MBILI NA KUMI NA MOJA MIA MABILI NA ISHIRINI MIA MBILI NA TISINI NA TISA MIA TATU MIA NNE MIA TANO MIA SITA MIA SABA MIA NANE MIA TISA ELFU MOJA ELFU MOJA NA MOJA ELFU MOJA MIA MOJA NA MOJA ELFU MOJA MIA TISA NA TISINI NA TISA ELFU MBILI ELFU TISA ELFU KUMI ELFU KUMI, NA MOJA ELFU KUMI-NA-MOJA ELFU KUMI-NA-MBILI ELFU ISHIRINI ELFU TISINI ELFU TISINI NA TISA, MIA TISA NA TISINI NA TISA LAKI MOJA LAKI MBILI LAKI TISA MILIONI MOJA MILIONI MBILI BILIONI MOJA 1,000,000,000,000 LUKUKI Up to Menu SEHEMU - FRACTIONS AND DECIMALS NUSU ROBO THELUTHI SUDUSU THUMUNI DECIMALI - DECIMALS 2.01 = Mbili nukta sifuri moja Half (1/2) Quarter (1/4) One Third (1/3) One Sixth (1/6) One eigth (1/8)

130 131 139 140 141 142 148 149 150 160 170 180 190 200 201 210 211 220 299 300 400 500 600 700 800 900 1,000 1,001 1,101 1,999 2,000 9,000 10,000 10,001 ? 11,000 12,000 20,000 90,000 99,999 100,000 200,000 900,000 1,000,000 2,000,000 UNCOUNTABLE

20.59 = Ishirini nukta tano tisa (Ishirini nukta hamsini na tisa) Up to Menu ASILIMIA - PERCENTAGES Asilimia Asilimia Asilimia Asilimia Asilimia moja kumi ishirini tisini na tisa mia moja 1 % 10 % 20 % 99 % 100 %

Up to Menu ORDINAL NUMBERS Ya Ya Ya Ya Ya Ya Ya Ya Ya Ya Ya Ya Ya Ya Ya Ya Ya kwanza Pili tatu nne tano sita saba nane tisa kumi kumi na moja kumi na mbili kumi na tisa ishirini arobaini tisini mia First Second Third Fourth Fifth Sixth Seventh Eighth Ninth Tenth Eleventh Twelveth Nineteenth Twentieth Fortieth Ninetieth Hundredth

The use of preposition "of" ( "ya"; "cha"; "wa"; "la") Mifano - Examples: Sherehe hii ni "ya" kwanza (This festival is the first) Fredi ni "wa" ishirini (Fred is twentieth) Maria ni "wa" kwanza (Mary is first) Kituko "cha" kwanza (First occurrence/event) Darasa "la" kwanza

Up to Menu KUJUMLISHA (ADDITION) NA KUTOA (SUBTRACTION) ALAMA = SIGNS + x Kujumlisha (to combine) / kuongeza (to add) Kutoa (to subtract) / kuondoa(to take away) Kuzidisha (to multiply) Kugawa (to divide)

KUJUMLISHA = KUONGEZA

28 + 10 = 38

(Ishirini na nane kujumlisha(kuongeza) kumi ni sawa na thelethini na nane). Note: "ni" = is (Twenty added to (i.e. plus) ten is equal to thirty eight)

28 - 10 = 18

(Ishirini na nane kutoa(kuondoa) kumi ni sawa na kumi na nane). (Twenty subtract (i.e. minus) ten is equal to eighteen)

KUZIDISHA = MULTIPLICATION 28 x 10 = 280 (Ishirini na nane kuzidisha na kumi ni sawa na mia mbili na themanini). (Twenty-eight multiplied by (i.e. times) ten is equal to two hundred and eighty). KUGAWA = DIVISION 28 - 10 = 2.8 (Ishirini na nane kugawa kwa kumi ni sawa na mbili nukta nane). (Twenty divided by ten is equal to two point eight) TIME AND DATES SEKUNDE/Sekunde DAKIKA/Dakika SAA/Saa SIKU/Siku MCHANA ASUBUHI USIKU JIONI MAGHARIBI MAPAMBAZUKO/ALFAJIRI WIKI/JUMA Second/seconds Minute/Minutes Hour/Hours Day/Days Daytime Morning Night Evening Dusk/Sunset Dawn/Sunrise Week/Weeks

MWEZI/Miezi MWAKA/Miaka KIZAZI/Vizazi KARNE/Karne ENZI MSIMU/Misimu KIANGAZI KIPUPWE MASIKA UPEPO KIMBUNGA/Vimbunga MVUA MBINGU/MAWINGU LEO JANA JUZI KESHO KESHO KUTWA MTONDO MTONDO GOO (Kushinda mtondo) Up to menu DAYS OF THE WEEK JUMAMOSI JUMAPILI JUMATATU JUMANNE JUMATANO ALHAMISI IJUMAA Up to menu DIRECTIONS MASHARIKI MAGAHARIBI KASKAZINI KUSINI KUSINI - MASHARIKI KUSINI- MAGAHARIBI KASKAZINI - MASHARIKI KASKAZINI - MAGAHARIBI Up to menu CELESTIAL BODIES JUA/Jua MWEZI/Miezi SAYARI/Sayari NYOTA/nyota DUNIA ULIMWENGU Lesson -6 NOUNS - Singular and Plural

Month/Months Year/Years Generation/Generations Century/Centuries Era Season/Seasons Dry-season Winter Rainy Season Wind Cyclone/Cyclones Rain Sky/Skies/Cloud/Clouds Today Yesterday Day before yesterday Tomorrow Day after tomorrow The third day The fourth day

Saturday Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday

East West North South South South North North

East West East West

Sun/Suns (also: Jua = know) Moon/Moons Planet/Planets Star/Stars Earth Universe

The folowing are some examples of singular and plural. Nouns in Kiswahili are pu

t into various classes according to how those nouns change when expressed in plu ral form. There are other factors considered in classifying nouns. Grammertical details about Noun classes is not included here.For A detailed analysis of Swahi li Noun Clases, click here SINGULAR Chumvi (Salt) Simu (Telephone) Embe (Mango) Sukari (Sugar) Maji (water) Meza (Table) Kaptura (Shorts) Kalamu (pen) Samaki (Fish) N Ndizi (banana) Nyumba (house) M Mwalimu (Teacher) Mwanafunzi (Student) Mtu (person) Mtoto (Child) Msichana (girl) Mvulana (boy) Mke (wife) Mme (husband) Mwanamke (Woman) Bibi Bwana (Mister) M Muhogo (Cassava) Mti (Tree) Mtumbwi (boat) Mto (river/pillow) Mfuko (bag) Mkono (Arm/hand) KI Kisu (Knife) Kito (Jewel) Kitu (thing) Kiatu (Shoe) Kiazi (Yam/potato) Kikombe (Cup) Kitabu (book) Kitana (comb) Kitanda (Bed) Kichwa (Head) Kidole (finger) Kijana (youth) Kiti (chair) PLURAL Chumvi (Salt) Simu (telephones) Embe (mangoes) Sukari (Sugar) Maji (water) Meza (tables) Kaptura (shorts) Kalamu (pens) Samaki (Fish) N Ndizi (bananas) Nyumba (Houses) WA Walimu (Teachers) Wanafunzi (Students) Watu (people) Watoto (Children) Wasichana (Girls) Wavulana (boys) Wake (wives) Waume (husbands) Wanawake (women) Mabibi Mabwana ( MI Mihogo (Cassava) Miti (Trees) Mitumbwi (boats) Mito (rivers/pillows) Mifuko (bags) Mikono (arms/hands) VI Visu (Knives) Vito (Jewels) Vitu (things) Viatu (Shoes) Viazi (Yams/potatoes) Vikombe (Cups) Vitabu (books) Vitana (Combs) Vitanda (beds) Vichwa (Heads) Vidole (fingers) Vijana (youths) Viti (Chairs)

MA

Daftari (note/exercise book) Madaftari (exercise books) Pipa (barrel) Mapipa (barrels) Godoro (mattress) Magodoro (barrels) Sanduku (suitcase/box) Masanduku (Suitcases/boxes) Shati (shirt) Mashati (shirts) Kabati (Cupboard) Makabati (Cupboards) Gari (car) magari (cars) basi (bus) mabasi (buses) Sikio (ear) Masikio (ears) Jicho (eye) Macho (eyes) Ziwa (lake) Maziwa (lakes) Ziwa (breast) Maziwa (Breasts) Titi (Breast) Matiti (breasts) CH Chakula (food) Chandarua (Mosquito net) Chombo (Vessel) Chanuo (comb) Chumba (room) Choo (latrine/toilet) Chuo (College) Chetu (ours) Chao (theirs) ADJECTIVES e.g. ZURI = GOOD/NICE SINGULAR & PLURAL SINGULAR Zuri SHATI ZURI = Nice shirt Nzuri HABARI NZURI = Good News NDIZI NZURI = Nice Banana PLURAL Mazuri MASHATI MAZURI = Nice shirts Nzuri HABARI NZURI = Good News NDIZI NZURI = Nice Bananas VY Vyakula (foods) Vyandarua (Mosquito nets) Vyombo (Vessels) Vyanuo (combs) Vyumba (rooms) Vyoo (latrines/toilets) Vyuo (Colleges) Vyetu (Ours) Vyao (theirs)

Mzuri Wazuri MTOTO MZURI = Good/nice child WATOTO WAZURI = Nice/Good children MTU MZURI = Nice person Mzuri MTI MZURI = Nice tree WATU WAZURI = nice people Mizuri MITI MIZURI = Nice trees

Kizuri KITI KIZURI = Nice chair CHAKULA KIZURI = Good food

Vizuri VITI VIZURI = Nice chairs VYAKULA VIZURI = Good Foods

Lesson 8 TENSES (PAST, PRESENT, FUTURE & PRESENT CONTINUOUS) General structure Examples: Past tense Future tense General structure PAST Alipika he/she cooked Walipika They cooked Tulipika We cooked Nilipika I cooked Alisoma he/she read Walisoma They read Tulisoma We read Nilisoma I read Alienda he/she went Walienda They went Tulienda We went Nilienda I went MUHTASARI - SUMMARY Past/present/future/present continuous) Ali/ana/ata/ana Wali/Wana/Wata/Wana Nili/nina/nita/nina Tuli/tuna/tuta/tuna Uli/una/uta/una Mli/mna/mta/mna He/She They I We you (singular) you (plural) PRESENT Anapika he/she is cooking Wanapika They are cooking Tunapika We are cooking Ninapika I am cooking Anasoma he/she is reading Wanasoma They are reading Tunasoma We are reading Ninasoma I am reading Anaenda he/she is going Wanaenda They are going Tunaenda We are going Ninaenda I am going FUTURE

Present tense Prefixes

Atapika he/she will cook Watapika They will cook Tutapika We will cook Nitapika I will cook Atasoma he/she will read Watasoma They will read Tutasoma We will read Nitasoma I will read Ataenda he/she will go Wataenda They will go Tutaenda We will go Nitaenda I will go

I = mimi We = sisi he/she/him = yeye They = wao You = wewe

you = nyinyi theirs = yao mine = yangu, wangu, changu, langu

Up to Menu MIFANO ZAIDI = FURTHER EXAMPLES: PAST TENSE : The verb PIKA = cook Kassim alipika = Kassim cooked Kassim na Mohammed walipika = Kassim and Mohammed cooked They cooked = walipika I cooked rice = [Mimi] nilipika wali We cooked rice = [sisi] tulipika wali You cooked rice = Wewe ulipika wali (singular) You cooked rice = Nyinyi mlipika wali (plural) PAST TENSE: The verb SOMA = read/learn Kassim alisoma = Kassim read Kassim na Mohammed walisoma = Kassim and Mohammed read They read = walisoma I read = Mimi nilisoma We read = sisi tulisoma You read = Wewe ulisoma (singular) You read = Nyinyi mlisoma (plural) PAST TENSE: The verb ENDA = go Kassim alienda = Kassim went Kassim na Mohammed walienda = Kassim and Mohammed went They went = walienda I went = Mimi nilienda We went = sisi tulienda You went = Wewe ulienda (singular) You went = Nyinyi mlienda (plural) Up to Menu FUTURE TENSE: The verb PIKA = cook Kassim atapika = Kassim will cook Kassim na Mohammed watapika = Kassim and Mohammed will cook They will cook = watapika I will cook rice = Mimi nitapika wali We will cook rice = sisi tutapika wali You will cook rice = Wewe utapika wali (singular) You will cook rice = Nyinyi mtapika wali (plural)

FUTURE TENSE: The verb SOMA = read/learn Kassim atasoma = Kassim will read Kassim na Mohammed watasoma = Kassim and Mohammed will read They will read = watasoma I will read = Mimi nitasoma We will read = sisi tutasoma You will read = Wewe utasoma (singular) You will read = Nyinyi mtasoma (plural) FUTURE TENSE: The verb ENDA = go Kassim ataenda = Kassim will go Kassim na Mohammed wataenda = Kassim and Mohammed will go They will go = wataenda I will go = Mimi nitaenda We will go = sisi tutaenda You will go = Wewe utaenda (singular) You will go = Nyinyi mtaenda (plural) Up to Menu PRESENT TENSE: The verb PIKA = cook Kassim anapika = Kassim cooks Kassim na Mohammed wanapika = Kassim and Mohammed cook They cook = wanapika I cook rice = Mimi ninapika wali We cook rice = sisi tunapika wali You cook rice = Wewe unapika wali (singular) You cook rice = Nyinyi mnapika wali (plural) PRESENT TENSE: The verb SOMA = read/learn Kassim anasoma = Kassim reads Kassim na Mohammed wanasoma = Kassim and Mohammed read They read = wanasoma I read = Mimi ninasoma We read = sisi tunasoma You read = Wewe unasoma (singular) You read = Nyinyi mnasoma (plural) PRESENT TENSE: The verb ENDA = go Kassim anaenda = Kassim goes Kassim na Mohammed wanaenda = Kassim and Mohammed go They go = wanaenda

I go = Mimi ninaenda We go = sisi tunaenda You go = Wewe unaenda (singular) You go = Nyinyi mnaenda (plural) Up to Menu SOME EXPLANATORY NOTES ON TENSES AND SENTENSE/PHRASE CONSTRUCTION IMPORTANT THINGS TO NOTE: TENSE PREFIXES; SUBJECT PREFIXES TENSE PREFIX PAST FUTURE PRESENT => li => ta => na

SUBJECT PREFIX + TENSE PREFIX SUBJECT PREFIX a wa ni tu u m SOME QUESTIONS AND ANSWERS: KASSIM ANAFANYA NINI? KASSIM ANAPIKA KASSIM ALIFANYA NINI? KASSIM ALIPIKA KASSIM ATAFANYA NINI? KASSIM ATAPIKA What is Kassim doing? What did Kassim do? What will Kassim do? PAST/FUTURE/PRESENT ali/ata/ana wali/wata/wana nili/nita/nina tuli/tuta/tuna

PART II KISWAHILI STRUCTURE (GRAMMAR & SYNTAX) In this part we will learn about nouns, verbs, adverbs, adjectives, pronouns, te nses, possessive, and some elementary sentence construction. Lesson -6 NOUNS - Singular and Plural The folowing are some examples of singular and plural. Nouns in Kiswahili are pu t into various classes according to how those nouns change when expressed in plu ral form. There are other factors considered in classifying nouns. Grammertical details about Noun classes is not included here.For A detailed analysis of Swahi li Noun Clases, click here SINGULAR Chumvi (Salt) Simu (Telephone) Embe (Mango) Sukari (Sugar) Maji (water) Meza (Table) Kaptura (Shorts) Kalamu (pen) Samaki (Fish) PLURAL Chumvi (Salt) Simu (telephones) Embe (mangoes) Sukari (Sugar) Maji (water) Meza (tables) Kaptura (shorts) Kalamu (pens) Samaki (Fish)

N Ndizi (banana) Nyumba (house) M Mwalimu (Teacher) Mwanafunzi (Student) Mtu (person) Mtoto (Child) Msichana (girl) Mvulana (boy) Mke (wife) Mme (husband) Mwanamke (Woman) Bibi Bwana (Mister) M Muhogo (Cassava) Mti (Tree) Mtumbwi (boat) Mto (river/pillow) Mfuko (bag) Mkono (Arm/hand) KI Kisu (Knife) Kito (Jewel) Kitu (thing) Kiatu (Shoe) Kiazi (Yam/potato) Kikombe (Cup) Kitabu (book) Kitana (comb) Kitanda (Bed) Kichwa (Head) Kidole (finger) Kijana (youth) Kiti (chair) ?

N Ndizi (bananas) Nyumba (Houses) WA Walimu (Teachers) Wanafunzi (Students) Watu (people) Watoto (Children) Wasichana (Girls) Wavulana (boys) Wake (wives) Waume (husbands) Wanawake (women) Mabibi Mabwana ( MI Mihogo (Cassava) Miti (Trees) Mitumbwi (boats) Mito (rivers/pillows) Mifuko (bags) Mikono (arms/hands) VI Visu (Knives) Vito (Jewels) Vitu (things) Viatu (Shoes) Viazi (Yams/potatoes) Vikombe (Cups) Vitabu (books) Vitana (Combs) Vitanda (beds) Vichwa (Heads) Vidole (fingers) Vijana (youths) Viti (Chairs) MA

Daftari (note/exercise book) Madaftari (exercise books) Pipa (barrel) Mapipa (barrels) Godoro (mattress) Magodoro (barrels) Sanduku (suitcase/box) Masanduku (Suitcases/boxes) Shati (shirt) Mashati (shirts) Kabati (Cupboard) Makabati (Cupboards) Gari (car) magari (cars) basi (bus) mabasi (buses) Sikio (ear) Masikio (ears) Jicho (eye) Macho (eyes) Ziwa (lake) Maziwa (lakes) Ziwa (breast) Maziwa (Breasts) Titi (Breast) Matiti (breasts)

CH Chakula (food) Chandarua (Mosquito net) Chombo (Vessel) Chanuo (comb) Chumba (room) Choo (latrine/toilet) Chuo (College) Chetu (ours) Chao (theirs)

VY Vyakula (foods) Vyandarua (Mosquito nets) Vyombo (Vessels) Vyanuo (combs) Vyumba (rooms) Vyoo (latrines/toilets) Vyuo (Colleges) Vyetu (Ours) Vyao (theirs)

PART II KISWAHILI STRUCTURE (GRAMMAR & SYNTAX) In this part we will learn about nouns, verbs, adverbs, adjectives, pronouns, te nses, possessive, and some elementary sentence construction. Lesson -6 NOUNS - Singular and Plural The folowing are some examples of singular and plural. Nouns in Kiswahili are pu t into various classes according to how those nouns change when expressed in plu ral form. There are other factors considered in classifying nouns. Grammertical details about Noun classes is not included here.For A detailed analysis of Swahi li Noun Clases, click here SINGULAR Chumvi (Salt) Simu (Telephone) Embe (Mango) Sukari (Sugar) Maji (water) Meza (Table) Kaptura (Shorts) Kalamu (pen) Samaki (Fish) N Ndizi (banana) Nyumba (house) M Mwalimu (Teacher) Mwanafunzi (Student) Mtu (person) Mtoto (Child) Msichana (girl) Mvulana (boy) Mke (wife) Mme (husband) Mwanamke (Woman) Bibi Bwana (Mister) M Muhogo (Cassava) PLURAL Chumvi (Salt) Simu (telephones) Embe (mangoes) Sukari (Sugar) Maji (water) Meza (tables) Kaptura (shorts) Kalamu (pens) Samaki (Fish) N Ndizi (bananas) Nyumba (Houses) WA Walimu (Teachers) Wanafunzi (Students) Watu (people) Watoto (Children) Wasichana (Girls) Wavulana (boys) Wake (wives) Waume (husbands) Wanawake (women) Mabibi Mabwana ( MI Mihogo (Cassava)

Mti (Tree) Mtumbwi (boat) Mto (river/pillow) Mfuko (bag) Mkono (Arm/hand) KI Kisu (Knife) Kito (Jewel) Kitu (thing) Kiatu (Shoe) Kiazi (Yam/potato) Kikombe (Cup) Kitabu (book) Kitana (comb) Kitanda (Bed) Kichwa (Head) Kidole (finger) Kijana (youth) Kiti (chair) ?

Miti (Trees) Mitumbwi (boats) Mito (rivers/pillows) Mifuko (bags) Mikono (arms/hands) VI Visu (Knives) Vito (Jewels) Vitu (things) Viatu (Shoes) Viazi (Yams/potatoes) Vikombe (Cups) Vitabu (books) Vitana (Combs) Vitanda (beds) Vichwa (Heads) Vidole (fingers) Vijana (youths) Viti (Chairs) MA

Daftari (note/exercise book) Madaftari (exercise books) Pipa (barrel) Mapipa (barrels) Godoro (mattress) Magodoro (barrels) Sanduku (suitcase/box) Masanduku (Suitcases/boxes) Shati (shirt) Mashati (shirts) Kabati (Cupboard) Makabati (Cupboards) Gari (car) magari (cars) basi (bus) mabasi (buses) Sikio (ear) Masikio (ears) Jicho (eye) Macho (eyes) Ziwa (lake) Maziwa (lakes) Ziwa (breast) Maziwa (Breasts) Titi (Breast) Matiti (breasts) CH Chakula (food) Chandarua (Mosquito net) Chombo (Vessel) Chanuo (comb) Chumba (room) Choo (latrine/toilet) Chuo (College) Chetu (ours) Chao (theirs) Lesson 9 POSSESSIVE Hii ni yangu Huyu mtoto ni wangu Hiki/Hichi Kitabu hiki ni changu Vitabu hivi ni vyangu SINGULAR = this is mine = this child is mine = this = this book is mine = these books are mine PLURAL VY Vyakula (foods) Vyandarua (Mosquito nets) Vyombo (Vessels) Vyanuo (combs) Vyumba (rooms) Vyoo (latrines/toilets) Vyuo (Colleges) Vyetu (Ours) Vyao (theirs)

YANGU WANGU CHANGU LANGU NYUMBA HII NI YANGU This house is mine NYUMBA HIZI NI ZANGU These houses are mine MBAVU HII NI YANGU This rib is mine MBAVU HIZI NI ZANGU These ribs are mine MTOTO HUYU NI WANGU This child is mine WATOTO HAWA NI WANGU These children are mine KITABU HIKI NI CHANGU This book is mine VITABU HIVI NI VYANGU These books are mine SANDUKU HILI NI LANGU This suitcase is mine MASANDUKU HAYA NI YANGU These suitcases are mine

ZANGU WANGU VYANGU YANGU

NYUMBA HII NI YETU This house is ours (House = singular) NYUMBA HIZI NI ZETU These houses are ours (Houses = plural) NYUMBA HII NI YENU This house is yours (house singular; yours = plural) NYUMBA HIZI NI ZENU These houses are yours (houses = plural; yours = plural) NYUMBA HII NI YAKO This house is yours (house = singular; yours = singular) NYUMBA HIZI NI ZAKO These houses are yours (houses = plural; yours = singular) HUYU MTOTO NI WAO WETU WANGU WAKO WENU HAWA WATOTO NI WAO WETU WANGU WAKO WENU HILI SANDUKU NI LAO LETU LANGU LAKO LENU HAYA MASANDUKU NI YAO YETU YANGU YAKO YENU HIKI KITABU NI CHAO CHETU CHANGU CHAKO CHENU HIVI VITABU NI VYAO VYETU VYANGU VYAKO THESE BOOKS ARE THEIRS OURS MINE YOURS (Singular) THIS CHILD IS THEIRS OURS MINE YOURS (Singular) YOURS (Plural) THESE CHILDREN ARE THEIRS OURS MINE YOURS (Singular) YOURS (Plural) THIS SUITCASE IS THEIRS OURS MINE YOURS (Singular) YOURS (Plural) THESE SUITCASES ARE THEIRS OURS MINE YOURS (Singular) YOURS (Plural) THIS BOOK IS THEIRS OURS MINE YOURS (Singular) YOURS (Plural)

VYENU HII NYUMBA NI YAO YETU YANGU YAKO YENU HIZI NYUMBA NI ZAO ZETU ZANGU ZAKO ZENU THESE HOUSES ARE THIS HOUSE IS

YOURS (Plural)

THEIRS OURS MINE YOURS (Singular) YOURS (Plural) THEIRS OURS MINE YOURS (Singular) YOURS (Plural)

NYUMBA (House) NYUMBA (House) NYUMBA (Houses) NYUMBA (House) NYUMBA (House) MTOTO (Child) MTOTO (Child) MTOTO (Child) TOTO (Big kid) N.B. Utoto - Childishness

NYUMBA (Houses) JUMBA (Big house) MAJUMBA (Big houses) KIJUMBA (Small house) VIJUMBA (Small houses) WATOTO (Children) KITOTO (small child/kid) LITOTO/JITOTO (Big child/kid) MATOTO (Big kids/children)

You might also like